Swansea imefanikiwa
kutwaa taji lao la kwanza baada ya kuifunga timu kutoka daraja pili ya Bradford katika fainali ya Capital One Cup. Swansea ilikwenda mapumziko
ikiwa magoli mawili huku mlinda mlango wa Bradford Matt Duke kulimwa kadi nyekundu. Hadi mwisho wa mchezo Swansea iliibuka na ushindi wa goli 5



No comments:
Post a Comment