Mtandao
wa kimataifa unaojihusisha na utengenezaji wa fedha bandia unaowahusisha baadhi
ya wafanyabiashara wa nchi jirani ya Kenya na Tanzania umebainika kuwepo nchini
kufuatia jeshi la polisi kukamata tena dola za kimarekani na kusababisha fedha
bandia zilizokamatwa katika kipindi cha siku mbili kufikia zaidi ya shilingi
milioni 250.

No comments:
Post a Comment