Timu ya prison ya Mbeya imepata ajali eneo la Hare mkoani Tanga,wachezaji Issa Mwantika,Lugano Mwangama,Khalidi Fungabreki,Daudi Masungwe wamepoteza fahamu na kukimbizwa hospitali ya Tanga, chanzo cha ajali iyo ni baada gari aina ya COaSter kuacha njia na kupinduka baada kupigwa na mwanga mkali wa taa za gari walilokua wanapishana nalo jana usiku, hadi saa tano na dk hamsini jana usiku majeruhi walikuwa wakikimbizwa hospitali teule ya Muheza.
Wednesday, October 24, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Recent
Weekly
-
TANZANIA PETROLEUM DEVELOPMENT CORPORATION CAREER OPPORTUNITIES Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is a...
-
Tanzania Commission for Universities ( TCU ) inafanya maonyesho ya 8 ya vyuo vikuu kutoka nchi mbalimbali ulimwenguni ambayo yanatarajiwa...
-
The Tanzania Library Service: A Review of Recent Literature By Cecelia Dahlgren Abstract Gives a history of the Tanzania Library Se...
-
Bulgarian politician Ahmed Dogan looks at the gunman as he holds a gun at his head and misfires A 25-year-old man, pictured ...
-
Mheshimiwa Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum akiwasili chuo cha uhasibu kurasini Brass Bend ikimpokea mgeni rasmi Mheshimiwa...
-
Rais Mwai kibaki wa Kenya akikaribishwa kwa maua na Mwanafunzi Tazmina Rasul(6) muda mfupi baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kis...
-
Peter Mutharika akisalimia wananchi Rais Kikwete akisalimiana na Rais Joyce Banda aliyeondoka madarakani leo baada ya kushindwa...
-
Fun in the snow: David Beckham spent the day sledding with his sons on Primrose Hill on Sunday afternoon The footballer looked casual b...
-
Padre E. Mushi Paroko wa parokia ya Minara Miwili Zanzibar ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika. Hii ni gari aliyokuwamo...
-
The Ministry of Education and Vocational Training is inviting applications from qualified Tanzanians for a one- year Masters Degree u...
0 Comment to "KIKOSI CHA PRISONS FC CHAPATA AJALI TANGA"
Post a Comment