Sunday, December 1, 2013

KOCHA MPYA WA AZAM FC AWASILI NCHINI

kocha Joseph Marius Omog raia wa Cameroon akipeana mkono na na Mwenyekiti wa timu hiyo Ndugu Said Mohammed Omog akionyesha jezi aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Azam FC Kocha mpya wa klabu ya Azam FC ameingia nchini, klabu ya Azam inapenda kuufahamisha umma kuwa imeingia mkataba...