Wednesday, March 27, 2013

VACANCIES ANNOUNCEMENT - 26th March, 2013


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT’S OFFICE
 
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
 
Ref. Na EA.7/96/01/D/24                                                                26th  March, 2013
 
VACANCIES ANNOUNCEMENT
 
On behalf of the National Audit Office (NAO), Mzumbe University (MU), Local Government Training Institute (LGTI), Government Chemist Laboratory Agency (GCLA), Ocean Road Cancer Institute (ORCI), Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA), Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC), Tanzania Forestry Research Institute (TAFORI), Tanzania Wildlife Research Institute (TAWIRI), Tanzania Education Authority (TEA), Arusha Technical College (ATC), Mbeya Institute of Science and Technology (MIST), College of Business Education (CBE),Tanzania Industrial Research and Development Organization (TIRDO), Attorney General’s Chambers (AG), Tanzania Public Service College (TPSC), Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA), Centre for Agricultural Mechanization and Rural Technology (CAMARTEC), Water Development and Management Institute (WDMI), Institute of Rural Development Planning (IRDP), Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC), Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI), Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI), Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), Agency for the Development of Educational Management (ADEM), Institute Of Social Work (ISW), Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA), e-Government Agency (eGA), Engineers Registration Board (ERB), and Center for Foreign Relations (CFR) the Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 188 vacant posts in the above Public Institutions.
 
NB: GENERAL CONDITIONS
 
i.        All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old, however, should also observe the age limit for each position where indicated.
 
ii.       Applicants   must   attach   an   up-to-date   current   Curriculum   Vitae   (CV)   having
 
reliable contact postal address, e-mail address and telephone numbers.
 

iii. Applicants should apply on the strength of the information given in this advertisement.

 

iv.     The title of the position and institution applied for should be written in the subject of the application letter and marked on the envelope; short of which will make the application invalid.

 

v.      Applicants must attach their detailed relevant certified copies of Academic certificates:

 

-       Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.

 

-       Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts.

 

-       Form IV and Form VI National Examination Certificates.

 

-       Computer Certificate

 

-       Professional certificates from respective boards

 

-       One recent passport size picture and birth certificate.

 

vi.     FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED

 

vii.    Testimonials, Partial transcripts and results slips will not be accepted.

 

viii.   Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will necessitate to legal action

 

ix.     Applicants for senior positions currently employed in the public service should route their application letters through their respective employers.

 

x.      Applicants for  entry levels currently employed in the Public Service should

 

not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November, 2010.

 

xi.     Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply.

 

xii.    Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.

 

xiii.   Certificates from foreign Universities should be verified by Tanzania Commission for Universities (TCU)

xiv.  Dead line for application is 9th March, 2013 at 3:30 p.m

xv.   Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate

 

xvi.  Women are highly encouraged to apply

 

xvii. Only short listed candidates will be informed on the date for interview

 

xviii.  Application letters should be written in Swahili or English

 

xix.  APPLICATION LETTERS SHOULD BE POSTED TO THE FOLLOWING ADDRESS. HAND DELIVERY IS NOT ACCEPTABLE:


Secretary
OR
Katibu
 
 
 
Public Service Recruitment
 
Sekretarieti
ya
Ajira
katika
Secretariat,
 
Utumishi wa Umma
 
P. O. Box 63100
 
S. L. P 63100,
 
 
 
DAR ES SALAAM.
 
DAR ES SALAAM.
 
 
 
For more details visit : www.ajirazetu.com

Monday, March 25, 2013

LESENI MPYA MWISHO MARCH 31

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed Mpinga amewataka madereva wote nchini kubadilisha leseni zao za zamani kwa kuwa zimebaki siku saba tu zoezi hilo kumalizika, vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mpinga alisema Machi 31, mwaka huu itakuwa mwisho wa madereva wote kutumia leseni za zamani, na kwamba kwa waliokuwa bado hawajabadilisha wafanye hima kubadilisha ili kuepuka usumbufu utakaojitokeza.
“Machi 31 ndiyo mwisho na hatutaongeza muda wa kubadilisha leseni, hivyo wananchi wakae wakijua, nawaomba watumie wiki hii moja iliyobaki kubadilisha leseni zao,” alisema Mpinga.
Alisema ifikapo Aprili Mosi mwaka huu wanataka kuona kila dereva anakuwa na leseni mpya, kwani za zamani hazitatambulika na kwamba atakayebainika na leseni ya zamani atachukuliwa hatua za kisheria.

Sunday, March 24, 2013

MAAFULIKO JIJINI DAR ES SALAAM

Licha ya wakazi wa mabondeni kutahadharishwa waondoke na serikali kuhama lakini baadhi ya wakazi walikaidi amri hiyo, amri hiyo kupingwa jana imeonyesha amri hiyo ya serikali ya kutaka  wakazi hao wahame imedhihirisha kwa mafuriko mafuriko hayo kufulika.

Picha inawaonyesha wakazi wa Jangwani jijini Dar es Salaam wakiwa nje ya Nyumba zao baada ya kutokea mafuriko kutokana na mvua iliyonyesha jana.
 
 
Gari la polisi lenye namba PT 0314 likisukumwa baada ya kuzimika barabarani kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo ya katikati ya jijini Dar es Salaam
 
Mtaa wa Azikiwe ukiwa umefurika maji ya mvua.
 
 
 
 

TAIFA STARS YAIADHIBU MOROCO 3 - 1

Ubao wa Matokeo unavyosomeka mara baada ya kumalizika kwa mechi kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Timu ya Taifa ya Morocco
 
Kikosi cha kwanza cha Taifa Stars kilichocheza dhidi ya Morocco. Mpaka mwisho Taifa Stars 3 Morocco 1
 

Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania kwa upande wa wanaume, Taifa Stars, jana imewapa watanzania raha ya aina yake baada ya kuichabanga timu ya Morocco (Atlas Lions) kwa jumla ya magoli 3-1 katika mchezo wa kuwania tiketi ya kwenda kwenye fainali za Kombe La Dunia zitakazofanyikia nchini Brazil hapo mwakani. Ushindi huo wa kishindo umepatikana katika mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar-es-salaam.

Magoli ya Taifa Stars yaliwekwa kimiani na wachezaji Thomas Ulimwengu kunako dakika ya 46 ambaye aliingia kuchukua nafasi ya Mwinyi Kazimoto. Magoli mengine yaliwekwa wavuni kupitia kwa Mbwana Samatta kunako dakika za 67 na 80 za mchezo. Thomas Ulimwengu na Mbwana Samatta wote ni wachezaji wa kulipwa wanaochezea timu ya TP Mazembe huko Congo DRC. Goli la kufutia machozi la Morocco lilifungwa na Youssef El-Arabi kunako dakika ya 94.

Kwa matokeo hayo, Taifa Stars hivi sasa inashika nafasi ya pili katika kundi (Kundi C) kwa kuwa na pointi 6 ikiwa ni pointi moja pungufu kutoka kwa Ivory Coast wanaoongoza kundi hilo. Morocco ni ya tatu ikiwa na pointi 2 wakati Gambia inashika mkia ikiwa na pointi 1


 
 

RAIS JINPING AKUTANA NA KIKWETE DAR-ES-SALAAM

 
Rais Xi Jinping, rais wa Uchina, ametia saini mikataba kadha na Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania mjini Dar-es-salaam.
Rais Xi aliingia Dar-es-salaam akitokea Moscow ambako ndiko alikoanza safari yake ya kwanza katika nchi za nje tangu kutawazwa rasmi kuwa rais hivi karibuni.
 
Hapo awali alipokelewa kwa ngoma na mizinga.
 
Rais Xi alitia saini mikataba 17 ya uchumi na utamaduni, mojawapo ni kuhusu ujenzi wa bandari mpya Bagamoyo pamoja na reli itayoungana na reli nyengine za Tanzania.
 
Akizungumza ikulu mjini Dar-es-salaam, kiongozi wa Uchina alisema ziara yake ni ishara ya uhusiano mwema kati ya nchi mbili hizo ambao umeendelea tangu ulipoanza wakati wa Rais Julius Nyerere na Mao Zedong.
 
Safari yake barani Afrika inaonesha umuhimu wa Afrika kwa Uchina, kuwa ni chanzo cha madini na nishati na piya soko kwa bidhaa za Uchina.
 
Rais wa Uchina anatarajiwa kutoa hotuba muhimu leo Jumatatu kuhusu uhusiano baina ya Uchina na Afrika.
 
Uchina ni ya pili katika uwekezaji nchini Tanzania, baada ya Uingereza.
 
Bwana Xi piya anapanga kuzuru Afrika Kusini ambako viongozi wa mataifa ya uchumi unaochipukia, BRICS, watakutana Jumaane mjini Durban.
 
Baada ya hapo anapanga kuzuru Congo.

Thursday, March 21, 2013

MASHUA YAZAMA KATIKA PWANI YA NIGERIA


Mashua iliyokuwa imebeba watu 160 imezama umbali wa kilometa 74 toka pwani ya Nigeria, wanaosimamia shughuli za uokoaji wamesema.

Mashua hiyo, iliyoundwa kwa mbao, ilianzia safari yake huko kusini-mashariki mwa Nigeria Ijumaa, ikielekea Gabon, safari kati ya Afrika Magharibi na Kati inayopendwa na wafanyibiasahara wengi.


Tomi Oladipo wa BCC, akiwa mjini Lagos, anasema kwamba safari hizi huchukua siku kadhaa, na huwa si salama sana. Kwa ajili hiyo ajali hutokea mara kwa mara.


Mashua hiyo ilianzia safari mjini Oron, jimboni Cross River, na ilikuwa inasafiri katika Ghuba la Guinea ilipozama, duru rasmi zimesema.
 

Waokoaji waliokuwa karibu na mji mkuu wa Jimbo la Cross River, Calabar, walisema wameokoa makumi ya maiti ya wasafiri waliokufa maji.


Wawili wa walionusurika, mvulana mdogo na mwanamke, walishikilia silinda ya gesi kabla ya kuokolewa na wavuvi, afisadharura wa Jimbo la Cross River, David Akate, aliliambia shirika la habari la Reuters.

Monday, March 18, 2013

UHURU ATAKA MASHTAKA YAKE ICC YAFUTWE


Wanasheria wa rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta, wameiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai, ICC, kumfutia mashitaka yanayomkabili mbele ya mahakama hiyo.

Bwana Kenyatta amekanusha kuchochea ghasia baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007.

Kikao maalum cha mahakama hiyo kimefanyika wiki moja baada ya mashitaka dhidi ya mshtakiwa-mwenza, Francis Muthaura, kutupiliwa mbali na mahakama ya ICC.

Mawakili wa Kenyatta wanasema kuachiwa kwa Muthaura, pia kunafuta mashitaka dhidi ya Kenyatta, lakini mwendesha mashitaka wa ICC amesema ana ushahidi zaidi dhidi ya Uhuru Kenyatta.

Kesi dhidi ya Bwana Kenyatta, ambaye alishinda uchaguzi mkuu uliofanyika mapema mwezi huu, na kutangazwa rais mteule baada ya kupata asilimia kidogo juu ya 50%, imepangwa kuanza kusikilizwa mwezi Julai.


Baada ya matokeo ya uchaguzi wa Desemba mwaka 2007 - wakati Bwana Raila Odinga aliposhindwa dhidi ya Rais wa sasa Mwai Kibaki, zaidi ya watu 1,000 waliuawa na wengine 600,000 kuachwa bila makaazi.
 

Bwana Kenyatta, mtoto wa mwasisi wa taifa la Kenya, Jomo Kenyatta anatuhumiwa kupanga mashambulio dhidi ya makundi ya kikabila yaliyokuwa yakimuunga mkono Bwana Odinga kufuatia uchaguzi wa mwaka 2007.


Shahidi muhimu 'haaminiki'Zaidi ya Wakenya 1,000 waliuawa baada ya uchaguzi wa mwaka 2007. Wiki iliyopita, mwendesha mashitaka wa ICC, Fatou Bensouda alisema kesi dhidi ya Bwana Muthaura imetupiliwa mbali kufuatia baadhi ya mashahidi kuogopa kutoa ushahidi wao, huku mwingien akikana sehemu ya ushahidi wake na kukiri kupokea rushwa.

Shahidi muhimu - akijulikana kama shahidi namba nne - alikuwepo katika mkutano ambako BwanaMuthaura na Bwana Kenyatta walituhumiwa kupanga kuwatumia kikundi cha Mungiki kinachoogopewa nchini humo kuwashambulia Wakalenjin, ambao walionekana kuwa wafuasi wa Bwana Odinga katika uchaguzi wa mwaka 2007.

Kiongozi wa mawakili wa Bwana Kenyatta, Stephen Kay anesema kwa kuwa shahidi namba nne ndiye aliyemhusisha Kenyatta na kikundi cha Mungiki, kwa hiyo kujitoa kwake katika ushahidi kuna maana kwamba Kenyatta hana kesi ya kujibu.


"kwa kiasi fulani tumepoteza imani katika utoaji maamuzi kama tulivyotahadharisha kikao cha kwanza cha mahakama cha kuthibitisha mashitaka, kutokana na aina ya ushahidi uliokuwa ukitolewa , na tukapuuzwa," Bwana Kay tameiambia mahakama ya ICC, ripoti kutoka shirika la AFP.

"Ushahidi dhidi ya Bwana Muthaura ambao umelazimisha kuondolewa kwa mashitaka dhidi ya Kenyatta ni sawa sawa na Bwana Kenyatta," amesema.


Amewaomba majaji kurejesha kesi ya Bwana Kenyatta kwenye mahakama ya kuthibitisha kesi ili majaji waweze kupitia ushahidi uliobakia kabla ya kuanza kesi kusikilizwa na kuamua kama kuna ushahidi kamili unaothibitisha kesi hiyo kusikilizwa.
 

Mwandishi wa BBC Anna Holligan kutoka The Hague anasema baada ya kufutwa kwa kesi dhidi ya mtuhumiwa mwenzake, Francis Muthaura, kumekuwa na uvumi kwamba mashitaka dhidi ya Bwana Kenyatta huenda pia ikatupiliwa mbali.

Sunday, March 17, 2013

CHELSEA YASOGEA NAFASI YA TATU BPL


Chelsea's Frank Lampard scores his 200th goal for Chelsea against his old side West Ham
Chelsea are up to third place in the Barclays Premier League after overcoming West Ham United at Stamford Bridge after Tottenham Hotspur lost at home against Fulham.
Rafa Benitez’s side leapfrogged Tottenham into third place after completing a 2-0 victory against West Ham, thanks to goals in either half by Frank Lampard and Eden Hazard.

Wednesday, March 13, 2013

PAPA ACHAGULIWA, SASA NI PAPA FRANCIS I

Moshi mweupe ukiashilia upatikanaji wa Papa
Papa Francis akihutubia
Papa Francis akijitokeza

Kadinali Jorge Mario Bergoglio wa Argentina amechaguliwa kuwa Papa mpya wa Kanisa Katoliki.

Kadinali Bergoglio anakuwa mtu wa kwanza kutoka Amerika kusini kuchaguliwa kuwa Papa.

Mara tu baada ya kuchaguliwa alichagua jina la Papa Francis I.

Awali moshi mweupe ulishuhudiwa ukifuka kutoka bomba la kutolea moshi katika kanisa la Sistine Chapel na kufuatiwa na kengele kupigwa. Hii ilikuwa ni ishara kwa walimwengu kuwa makadinali ambao walianza mchakato wa kumchagua Papa mpya hatimae walikuwa wamefaulu katika kazi yao.

Kadinali Bergoglio anachukuwa mahali pa Papa Benedict XVI, ambaye alijiuzulu mwezi uliopita akisema hana nguvu na uwezo wa kuendelea kuliongoza Kanisa Katoliki.

Makadinali 115 wamekuwa faraghani tangu siku ya Jumanne alasiri na wakaanza mchakato wao kwa kupiga kura mara nne kwa siku.

Ilikuwa inahitajika kuwa angalau Makadinali 77 yaani theluthi-mbili wangeliweza kumpigia kura mmoja wao ili aweze kutangazwa kuwa Papa mpya.

Na kabla ya mchakato huo kuanza kulikuwa hakuna dalili za kuonyesha nani angelichaguliwa.

Maelfu ya watu kutoka sehemu mbali mbali duniani walikwa wamekusanyika katika ukumbi wa Kanisa la St Peter tangu siku ya Jumanne.

Muda mfupi kabla ya Kadinali Bergoglio kujitokeza , maelfu ya watu walionekana wakikimbia kuelekea ukumbi wa St Peters ili kuweza kumshuhudia Papa mpya akitangazwa .

Papa Francis I ni nani?Alizaliwa Mjini Buenos Aires huko Argentina mwaka1936.

Papa Francis 1 ni mtu wa kwanza katika kipindi cha miaka elfu moja (1,000) kwa mtu kutoka nje ya bara la Ulaya kutawazwa kuwa papa wa Kanisa Katoliki.

Papa Francis 1 ni mwana wa Mtaliano aliyekuwa akifanya kazi katika shirika la gari Moshi kabla ya kuhamia nchini Argentina miaka ya zamani.

Kama kadinali wa Jimbo la Buenos Aires ,Kadinali Bergoglio amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya Argentina.

Hata hivyo Kadinali Bergoglio anapendwa sana na wafuasi wa kanisa hilo huko Argentina na hasa watu maskini.

Kadinali Jorge Bergoglio, mwenye umri wa mwaka 76, kwa karibu miaka yake yote kama Kasisi amehudumu nyumbani kwao Argentina.

Kadinali huyo wa Jimbo la Buenos Aires inasemekana aliibuka nambari mbili wakati Papa Benedict alipochaguliwa mwaka 2005 

Anaaminika kuwa na ujuzi mkubwa ambao wengi wanasema utamsaidia sana katika uongozi wake.

Katika maisha yake ya huduma kwa Kanisa Katoliki huko Amerika Kusini ambapo Kanisa Katoliki lina waumini wengi zaidi duniani, Kadinali Bergoglio ameibuka kuwa mtu anayependa sana udhabiti wa kisiasa katika nchi zilizo katika bara la Amerika Kusini. 

Bergoglio anasifiwa kwa kuleta mageuzi makubwa katika Kanisa la Argentina huku katika eneo hilo la Amerika Kusini Kanisa bado linashikilia itikadi za kale.

 

 

MOSHI MWEUSI VATICAN UKIASHILIA PAPA HAJAPATIKANA

Moshi mweusi Vatican
 
Moshi mweusi umetokea kwenye dari la hekalu ya Sistine mjini Roma, kumaanisha kuwa makadinali walioko ndani ya hekalu wameshindwa kuafikiana juu ya Papa mpya anayetarajiwa kuchaguliwa.

Moshi mweupe utaashiria kupatikana kiongozi mpya wa kanisa Katoliki la Roma.

Makadinali hao wanatarajiwa kupiga kura mara nne kwa siku hadi pale thuluthi mbili ya makadinali wote watakapoafikiana juu ya Papa mpya.

Walipiga kura yao ya kwanza ambayo haikuleta maafikiano hapo usiku wa Jumanne. Yeyote atakayeteuliwa kuliongoza kanisa hilo katoliki anakabiliwa na wakati mgumu, ambapo kanisa limezongwa na kashfa mbali mbali pamoja na migawanyiko ya ndani.

Papa aliyeondoka Benedikt wa Kumi na sita aliwashangaza wengi alipotangaza kujiuzulu wadhifa huo miaka minane tu tangu kuchaguliwa. Yeye ndiye Papa wa kwanza kujiuzulu katika miaka 600 ya historia ya kanisa hilo.

Alitoa sababu kuwa amezeeka na afya yake imedhoofika kwa hivyo haoni kuwa anaweza kutekeleza wajibu wake kikamilifu kama Papa wa kanisa.

Tuesday, March 12, 2013

VACANCY - LOGISTICS MANAGER (PREFERABLY ASIAN)


Logistics Manager (Preferably Asian)

HR SOLUTIONS LTD

Date Listed: Mar 9, 2013

Phone: -

Area: Dar Es Salaam

Application Deadline: Mar 22, 2013

Start Date: Mar 25, 2013

 

Position Description:

Key Competencies

 • Communication skills - written and verbal

• Planning and organizing

• prioritizing

• Problem assessment and problem solving

• Information gathering and information monitoring

• Attention to detail and accuracy

• Flexibility

• Adaptability

• Customer service orientation

• Teamwork

Application Instructions:

1. Ion letter

2. CV

3. Passport size photograph

4. Copy of Passport / Identification card / Vote identification card

5. Copy of Certificates ( Academics , Birth , Driving license)

6.  3 References Contacts

7. Certificate of Service from past employer ( if any )

8. NSSF \ PPF etc  ( If registered )


NB.

 • All the above documents to be certified.

• Failure to compile the above requirements the application will not be considered.

 Apply to

Email: recruitment.hrsolutionsltd@gmail.com