Sunday, December 30, 2012

MAGHALA YA KUIFADHIA BIDHAA ZA WAFANYABIASHARA WA MWANJELWA YATEKETEA KWA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEO

Maghala ya kuhifadhia bidhaa mbali mbali za wafanyabiashara wa Mwanjelwa, Mbeya yameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo maghala hayo yapo maeneo ya uwanja wa ndege wa Mwanjelwa

Wanausalama wakiwa makini na vibaka ambao walitaka kuvamia eneo hilo la moto kutaka kupora mali.

Kikosi cha zimamoto cha jiji la mbeya wakishirikiana na kikosi cha zimamoto uwanja wa ndege wa songwe walijitahidi kuuzima moto huo ingawa mara kwa mara waliishiwa maji kutokana na uwezo mdogo wa magari hayo kubeba maji ya kuzimia moto

Maeneo haya kwa kawaida wahalifu hawakosekani.
Polisi wakiwa wamemshika kibaka aliyetaka kuiba mafuta ya kupikia

Gari hili lilipasuka kioo kutokana na vurugu zilizokua zikisababishwa na vibaka pamoja na kurusha mawe

Haya ni mafuta ya kula yaliyomwagika baada ya ndoo za mafuta hayo kuyeyuka kwa moto

Mafuta ya kula

Baadhi ya wafanyabiashara wakijaribu kuangalia baadhi ya bidhaa zao

Muonekano wa maghara hayo baada ya kuzimika kwa moto

Moja ya gari ambalo liliungua na moto huo

Sunday, December 23, 2012

TANZANIA INSTITUTE ACCOUNTANCY GRADUATION CEREMONY


Mheshimiwa Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum akiwasili chuo cha uhasibu kurasini

Brass Bend ikimpokea mgeni rasmi

Mheshimiwa Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum akiwa na mkuu wa chuo cha uhasibu kulia wakielekea kuzindua jengo la utawala

Baadh ya viongozi wa Taasisi

Mheshimiwa Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum akizindua jengo la utawala

Mzee Boma akiwa na baadhi ya viongozi wa serikali ya wanafunzi

Mheshimiwa Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum akikata utepe kuashilia uzinduzi rasmi wa jengo


Jengo la utawala




Wafanyakazi wa chuo cha Uhasibu wakiwa katika picha ya pamoja na mheshimiwa Mheshimiwa Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum


Mheshimiwa Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum akielekea ofisi ya mkuu wa chuo kwa ajili ya kuvaa majoho ili kuanza msafara wa kwenye kutunuku vyeti

Baadhi ya walimu wa chuo cha Uhasibu Tanzania

Mheshimiwa Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum katikati akiwa na Joho

Brass Band ikiongoza msafara


Msafara ukielekea kwenye uwanja wa mahafali



Mkuu wa chuo cha Uhasibu bwana Hanzuruni akitoa hotuba

Baadhi ya wahitimu wakiwa wameketi


Wadau wa TIA kutoka kushoto ni Mwasha, Kitandu na Sango

Roselinda na Caroline pia walikuwepo 

Baadhi ya wafanyakazi wa TIA wakiongozwa na dada Lucy Komino Ilikua ni wakati mwingine wa sherehe ya wafanyakazi baada ya mahafali kumalizika.

Wafanyakazi katika sherehe



Thursday, December 20, 2012

VACANCY-Human Resources Advisor CCBRT


Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) is a locally registered NGO first established in 1994. It is the largest indigenous provider of disability rehabilitation services in the country. CCBRT aims to improve the quality of life of people living with disabilities as well as their families and to enable them to achieve their legitimate potential.


Duties to Include:

  •  Building strong professional relationships with management teams and with employees and supporting them on all Employee Relation issues.

·         Contributing to the achievement of CCBRT’s strategic objectives by working closely with managers and directors to ensure the achievement of their business plans and KPIs.

·         Championing the performance appraisal process and ensure appropriate follow-up, with particular emphasis on training and development needs, career development aspirations and readiness for promotion.

·         Monitoring market conditions to ensure the organization provides attractive and competitive compensation practices. Assist the HR Director to collate market data with regards to remuneration, compensation and benefits to ensure terms and conditions of employment remain both competitive and commercially viable.


Work Experience / Skills:

·         Minimum 5 years  working experience in an HR senior position (E)

·         Must have strong HR systems and process skills (E)

 
Qualifications:

  • Degree in an appropriate subject (E) 

E – Essential, P – Preferred

 

We are an equal opportunities employer, people with disabilities are encouraged to apply. Please submit a letter of application or curriculum vitae with two references and maximum one page cover letter on why you believe you are the right candidate for this position.  Please send it via email to: recruitment@ccbrt.or.tz or by post to the Human Resources Department, P.O Box 23310, Dar es Salaam, Tanzania. Tel:  +255 (0) 22 260 1543, +255 (0) 22 260 2192, Fax: +255 (0) 22 260 1544. Website: www.ccbrt.or.tz   www.baobabhospital.or.tz

 

Closing date for Applications: 15th January 2013.  Only shortlisted candidates will be contacted

 

NHC YATANGAZA TAREHE YA KUANZA KUUZA NYUMBA ZA BEI NAFUU KIBADA KIGAMBONI

Mkurugenzi wa uendeshaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) David Shambwe akionea katika mkutano wa waandishi wa habari, Dar es salaam jana muda wa kuanz akuuza nyumba 290 za bei nafuu zilizojengwa Kibada Kigamboni, zitakazoanza kuuzwa Januari 2 mwakani. Upande wa kulia ni meneja masoko na utafiti.

Waandishi wa habari wakiwa kazini wajkati wa mkutano huo uliofanyika NHC kanda ya kinondoni


Sunday, December 16, 2012

Chelsea yashindwa na Corinthians 1-0

 
 
Klabu ya Corrinthians kutoka Brazil, imeshinda kombe la klabu bingwa duniani baada ya kuilaza Chelsea bao moja kwa bila katika mechi ya fainali iliyochezwa nchini Japan.


Paolo Guerrero aliifungia Corinthians, bao hilo muhimu na la ushindi.

Hata hivyo Chelsea, ilipoteza nafasi nyingi za kufunga wakati wa mechi hiyo.

Katika muda wa ziada Fernando Torres, alipoteza nafasi nzuri sana ya kusawazisha licha ya kuwapiku walinzi wa Corinthians na kubakia kipa pekee.

Torres alijaribu kumchenga kipa wa Corinthians lakini kombora lake likawa hafifu na kudakwa kwa urahisi na kipa.

Chelsea ilimaliza mechi hiyo ikiwa na wachezaji kumi baada ya Gary Cahil, kupewa kadi nyekundu baada ya kumfanyika madhambi mchezaji wa Corrinthians Emerson.

Bao la chelsea lililofuingwa kwa kichwa na Fernando torres lilikataliwa na hivyo vijana hao kutoka brazil wakaibuka na ushindi.

Friday, December 14, 2012

CHUO CHA UHASIBU KURASINI WAFANYA MNADA WA VITU MBALIMBALI

Viongozi wa mnada TIA dada Kalelema Kware na Bwana Kennedy Ndosi. Mnada huu utaendelea kesho kuanzia saa nne asubuhi


Baadhi ya watu waliohudhuria mnada huo ili kuweza kununua vitu mbalimbali

Milango na viti vilivyokua vikiuzwa


Mataili pamoja na Milango

Baadhi ya watu wakipakia vitu vyao

Komputa na vyuma mbalimbali vilivyokua vikiuzwa

Mapazia pia yalikuwepo

Viti na Matairi


Matairi pia yaliuzwa