Tuesday, March 18, 2014

CHELSEA NA REAL MADRID ZATINGA ROBO FAINALI LIGI YA CLUB BINGWA ULAYA


Samwel Etoo mweny namba 29 mgongoni akifunga goli la kwanza kwa Chelsea katika dakika ya nne ya mchezo kuanza.
Eto'o akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wa goli la pili lililofungwa na Cahil
 
Gareth Bale akimkumbatia Christiano Ronaldo baada ya mreno huyo kupachika goli dhidi ya Shalke 04 jana.  
 

Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "CHELSEA NA REAL MADRID ZATINGA ROBO FAINALI LIGI YA CLUB BINGWA ULAYA"

Post a Comment