Nafasi
za kujiunga na kidato cha tano mwaka 2014 kwa wanafunzi waliomaliza mwaka
jana zimetangazwa rasmi muda huu jijini dare s salaam na naibu waziri wa
TAMISEMI Bw KHASIM MAJALIWA ambapo zaidi ya wanafunzi 16800
wamekosa nafasi hizo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo upungufu wa shule za
kidato cha tano
Akitangaza
majina na shule walizopangiwa wanafunzi hao Mh MAJALIWA amesema kuwa jumla ya
wanafunzi 54085 sawa na alimilia 75.61 ya wanafunzi 71527 waliostahili kuingia
kidato cha tano mwaka huu wamechaguliwa huku wavulanai ni 31352 wakati
wasichana ni 22733 ambapo ni sawa na ongezeko la wanafunzi 20402 kwa
kulinganisha na wanafunzi 33683 walochaguliwa mwaka jana.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na shule mbalimbali
wataanza kuripot katika meneo yao tarehe 10 julai mwaka huu ambapo mwisho wa
kufika katika shule walizopangiwa ni tarehe 30 julai mwaka huu ambapoamesema
kuwa kwa wale ambao watakuwa hawajiripot hadi tarehe hiyo nafasi zao zitajazwa
na waliokosa nafasi.
Caesars Palace Casino Hotel Opens At Mohegan Sun | KTMH
ReplyDeleteCaesars Palace announced the opening of its 김천 출장마사지 new casino resort 당진 출장샵 at Mohegan Sun as part of a $140 안성 출장마사지 million dollar renovation that will 과천 출장샵 bring the resort 동해 출장마사지