Spika wa Bunge Anne Mkinda akimpokea Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya M. Kikwete wakati alipowasili katika ukumbi huo wa bunge
Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Anne Makinda akikaribishwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh. Margret Natongo katika jengo hilo jipya.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya M. Kikwete akihutubia Bunge la Afrika Mashariki wakati alipofika kuzindua ukumbi mpya wa Bunge hilo jijini Arusha.
Ukumbi wa Bunge la Afrika Mashariki
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Mh. Raisi Kikwete
Picha na: Othmani Michuzi
0 Comment to "RAISI KIKWETE AZINDUA UKUMBI MPYA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI"
Post a Comment