Taarifa zilizopatikana jana jioni zinaeleza kuwa aliyewahi kuwa muigizaji katika kikundi cha Kaole,(pichani enzi za uhai wake) ,aliyekuwa akitambulika kwa jina la Mlopelo amefarika dunia mapema jana katika hospitali ya Temeke,jijini Dar,kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa marehemu wamesema Mlopelo amefarika mchana wa jana kwenye hospitali ya Temeke, na kwamba shughuli zote za Msiba zipo nyumbani kwao Temeke Wailess mtaa wa Boko
Thursday, November 22, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Recent
Weekly
-
UKIJUA FAIDA YA KITUNGUU MAJI HUTAACHA KUKITUMIA Baadhi ya magonjwa ambayo hadi sasa haijafahamika tiba yake katika hospitali zetu yana...
-
TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA MAARIFA (QT) NA KIDATO CHA NNE (CSEE) ILIYOFANYIKA OKTOBA 2012 1.0 ...
-
TANZANIA PETROLEUM DEVELOPMENT CORPORATION CAREER OPPORTUNITIES Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is a...
-
14 SEPTEMBER, 2013 Aston Villa v Newcastle United Everton v Chelsea Fulham v West Bromwich Albion Hull City v Cardiff City Man...
-
Bulgarian politician Ahmed Dogan looks at the gunman as he holds a gun at his head and misfires A 25-year-old man, pictured ...
-
The Tanzania Library Service: A Review of Recent Literature By Cecelia Dahlgren Abstract Gives a history of the Tanzania Library Se...
-
Padre E. Mushi Paroko wa parokia ya Minara Miwili Zanzibar ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika. Hii ni gari aliyokuwamo...
-
Legend: Film director Michael Winner has died aged 77 after a long battle with liver disease Prolific: Winner directed more than...
-
MWALIMU JULIUS NYERERE MEMORIAL SCHOLARSHIP FUND SCHOLARSHIP APPLICATION FORM For Study in Tanzanian Universities 2015 (MASTE...
0 Comment to "MLOPELO AMEFARIKA DUNIA"
Post a Comment