
kocha Joseph Marius Omog raia wa Cameroon akipeana
mkono na na Mwenyekiti wa timu hiyo Ndugu Said Mohammed
Omog akionyesha jezi aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Azam FC
Kocha mpya wa klabu ya
Azam FC ameingia nchini, klabu ya Azam inapenda kuufahamisha umma kuwa imeingia
mkataba...