
Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha usalama barabarani, Kamishna
Msaidizi Mwandamizi (SACP) mstaafu James Kombe amefariki dunia wakati akipatiwa
matibabu katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.
Akizungumzia kifo hicho Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini,...