Muonekano wa nje wa jengo hilo la Campus ya Dar es Salaam kwa nje
Muonekano wa nje
Mlango mkuu wa kuingilia
Sehemu ya pembeni ya jengo
Ngazi
Kennedy, Hamis, na Kitandu wakishuka mjengoni
Muonekano wa ndani katika jengo jipya
Sehemu...
Spika wa Bunge Anne Mkinda akimpokea Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya M. Kikwete wakati alipowasili katika ukumbi huo wa bunge
Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Anne Makinda akikaribishwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh. Margret Natongo katika jengo...
Msanii/Muigizaji/Mchekeshaji Hussein Ramadhani Mtioeti (27) maarufu SHARO MILIONEA amefariki dunia katika ajali ya gari jijini Tanga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Prudence Masawe, amethibitisha kutokea kwa ajali na kusema kuwa marehemu amefikwa na umauti baada ya gari...
Ajali hii imetokea maeneo ya barabara ya Mbalizi kuelekea Mabatini baada ya gari hilo mali ya Kampuni ya Vodacom kuvamia nguzo ya taa za barabarani.
...
Mkuu wa majeshi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, amesimamishwa kazi huku uchunguzi ukiendelea kufuatia madai kuwa aliwauzia silaha makundi ya waasi yanaopambana na serikali ya nchi hiyo.
Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa, imemtuhumu, Generali Gabriel Amisi kwa kuendesha...
Taarifa zilizopatikana jana jioni zinaeleza kuwa aliyewahi kuwa muigizaji katika kikundi cha Kaole,(pichani enzi za uhai wake) ,aliyekuwa akitambulika kwa jina la Mlopelo amefarika dunia mapema jana katika hospitali ya Temeke,jijini Dar,kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa marehemu...
Roberto Di Matteo amefutwa kazi na klabu ya Chelsea, baada ya kuwa meneja kwa kipindi cha miezi minane.
Di Matteo aliiwezesha Chelsea kuwa mshindi wa klabu bingwa barani Ulaya, na vile vile kupata Kombe la FA msimu uliopita, na mwezi Juni, alitia saini mkataba wa miaka miwli.
Lakini...
Public Relations Officer II
Muhimbili National Hospital
Date Listed: Nov 15, 2012Phone: No Calls PleaseArea: Dar Es SalaamApplication Deadline: Nov 23, 2012
Position Description:
Reports To: Senior Public Relations Officer
Duties and Responsibilities: ...