Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana imemwachia kwa
dhamana msanii wa filamu, Elizabeth Michael 'Lulu' aliyekuwa anakabiliwa na kesi
ya kumuua msanii mwenzake wa filamu Steven Kanumba Aprili 7, 2012 bila kukusudia
baada ya kukamilisha taratibu zote za dhamana.
Lulu akishuka katika gari la polisi baada ya kuwasili
mahakamani.
Kutoka kushoto ni mama mzazi wa Lulu Lucresia Karugila,
wakili wa Lulu bwana Kibatala na Dk. Cheni wakijadili jambo wakati wakisubiri
dhamana ya Lulu.
Lulu akiingia katika chumba cha msajili wa mahakama ili
kukamilisha dhamana yake.
Lulu akitoka mahakamani na mama yake mzazi
Lulu akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani
Lulu akiwa ndani ya gari baada ya kukamilisha dhamana
yake.
0 Comment to "LULU MICHAEL AACHIWA HURU KWA DHAMANA"
Post a Comment