Thursday, January 24, 2013

RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA FIFA

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, akiwa katika picha ya Pamoja na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp Blatter na Rais w Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) Leodegar Chilla Tenga (kulia) wakati Rais Kikwete na ujumbe wake walip0tembelea Makao Makuu ya FIFA mjini Zurich,Switzerland Januari 23, 2013 kwa Mwaliko maalum wa FIFA.
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, akimweleza jambo Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp Blatter (kulia) kuhusiana na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Leodeger Chilla Tenga.
 Rais wa FIFA Joseph Sepp Blatter akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete bendera maalum ya FIFA.

Habari na Father Kidevu 
 

Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA FIFA"

Post a Comment