Thursday, September 5, 2013

HII NDIO TASWIRA HALISI YA VURUGU ZILIZOTOKEA BUNGENI JANA



Hizi ni badhi tu ya picha za songombingo lililotokea jana ndani ya ukumbi wa bunge,Wabunge wa CHADEMA walipopambana na polisi.


Sugu akidhibitiwa na askari wa bunge ndani ya ukumbi wa bunge huku akiwa ameng'ang'ania kipaza sauti.




Hapa askari wa bunge wakipambana na mhe Joseph Mbilinyi huko mhe akiwa ameshika mkono wa kipaza sauti kufuatia kutoelewana ndani ya ukumbi wa bunge jana.

 

Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "HII NDIO TASWIRA HALISI YA VURUGU ZILIZOTOKEA BUNGENI JANA"

Post a Comment