Tuesday, September 10, 2013

MTANDAO WA FEDHA HARAMU WABAINIKA NCHINI TANZANIA



Mtandao wa kimataifa unaojihusisha na utengenezaji wa fedha bandia unaowahusisha baadhi ya wafanyabiashara wa nchi jirani ya Kenya na Tanzania umebainika kuwepo nchini kufuatia jeshi la polisi kukamata tena dola za kimarekani na kusababisha fedha bandia zilizokamatwa katika kipindi cha siku mbili kufikia zaidi ya shilingi milioni 250.

Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "MTANDAO WA FEDHA HARAMU WABAINIKA NCHINI TANZANIA"

Post a Comment