Tuesday, September 24, 2013

MASHINDANO YA SHIMIWI YANAENDELE HAZINA IKIWA HAIJAPOTETA MCHEZO HATA MMOJA KATIKA MICHEZO INAYOSHIRIKI

Timu ya Hazina ikiwa kwenye mstari ikisubiri ukaguzi kutoka kwa mgeni rasmi
Hawa ni baadhi ya vingozi wa timu ya Hazina kutoka kushoto ni Mwl. Ussi, Zuberi pamoja na kocha Formen

Hii ni moja ya timu pinzani ambayo ilikutana na Hazina, ni timu ya Ras Dodoma

mpaka sasa hazina imecheza michezo miwili kwa upande wa mpira wa miguu na ina point 6 na magoli matano, imebakiza mchezo mmoja amabao unachezwa kesho na timu ya kilimo mida ya saa 8 mchana katika viwanja vya UDOM Humanity Pitch I.


Share this

0 Comment to "MASHINDANO YA SHIMIWI YANAENDELE HAZINA IKIWA HAIJAPOTETA MCHEZO HATA MMOJA KATIKA MICHEZO INAYOSHIRIKI"

Post a Comment