Waziri Mkuu Mh,Mizengo
Pinda katikati akiwa na mabondia Fransic Miyeyusho kushoto na Fransic Cheka
wakati walipo tembelea bungeni Dodoma kwa ajili ya kutambua mchango wao na
kuwapongeza
Waziri Mkuu Mh,Mizengo
Pinda wanne kushoto akiwa na bingwa wa dunia wa mchezo wa masumbwi nchini
Fransic Cheka baada ya kukaribishwa bungeni mjini Dodoma wengine kushoto Kocha
wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na bingwa wa mabara Fransic Miyeyusho kulia
ni promota wa mchezo wa masumbwi nchini Mohamed Bawaziri.
Maji marefu akiwa na mabingwa wa mchezo wa masumbwi
0 Comment to "CHEKA APELEKA MKANDA BUNGENI - BAADA YA KUMPIGA MMAREKANI"
Post a Comment