Rais Kikwete akikata utepe bila kujali mvua kali iliyokua ikinyesha jana kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 jana ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma katika wilaya ya Ilala
Dkt.Jakaya M. Kikwete bila kujali mvua akifunua kitambaa cheupe kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 kwa ajili ya waathirika wa mabomu Gongo la Mboto.
Dkt.Jakaya M. Kikwete akiwa na mama aliyenufaka na mradi huo
Baadhi ya nyumba kwa muonekano wa nje
0 Comment to "RAIS KIKWETE AKABIDHI NYUMBA MPYA 35 ZA WAATHIRIKA WA MLIPUKO WA MABOMU YA GONGO LA MBOTO"
Post a Comment