Thursday, December 20, 2012

NHC YATANGAZA TAREHE YA KUANZA KUUZA NYUMBA ZA BEI NAFUU KIBADA KIGAMBONI

Mkurugenzi wa uendeshaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) David Shambwe akionea katika mkutano wa waandishi wa habari, Dar es salaam jana muda wa kuanz akuuza nyumba 290 za bei nafuu zilizojengwa Kibada Kigamboni, zitakazoanza kuuzwa Januari 2 mwakani. Upande wa kulia ni meneja masoko na utafiti.

Waandishi wa habari wakiwa kazini wajkati wa mkutano huo uliofanyika NHC kanda ya kinondoni


Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "NHC YATANGAZA TAREHE YA KUANZA KUUZA NYUMBA ZA BEI NAFUU KIBADA KIGAMBONI"

Post a Comment