Sunday, December 30, 2012

MAGHALA YA KUIFADHIA BIDHAA ZA WAFANYABIASHARA WA MWANJELWA YATEKETEA KWA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEO

Maghala ya kuhifadhia bidhaa mbali mbali za wafanyabiashara wa Mwanjelwa, Mbeya yameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo maghala hayo yapo maeneo ya uwanja wa ndege wa Mwanjelwa

Wanausalama wakiwa makini na vibaka ambao walitaka kuvamia eneo hilo la moto kutaka kupora mali.

Kikosi cha zimamoto cha jiji la mbeya wakishirikiana na kikosi cha zimamoto uwanja wa ndege wa songwe walijitahidi kuuzima moto huo ingawa mara kwa mara waliishiwa maji kutokana na uwezo mdogo wa magari hayo kubeba maji ya kuzimia moto

Maeneo haya kwa kawaida wahalifu hawakosekani.
Polisi wakiwa wamemshika kibaka aliyetaka kuiba mafuta ya kupikia

Gari hili lilipasuka kioo kutokana na vurugu zilizokua zikisababishwa na vibaka pamoja na kurusha mawe

Haya ni mafuta ya kula yaliyomwagika baada ya ndoo za mafuta hayo kuyeyuka kwa moto

Mafuta ya kula

Baadhi ya wafanyabiashara wakijaribu kuangalia baadhi ya bidhaa zao

Muonekano wa maghara hayo baada ya kuzimika kwa moto

Moja ya gari ambalo liliungua na moto huo

Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "MAGHALA YA KUIFADHIA BIDHAA ZA WAFANYABIASHARA WA MWANJELWA YATEKETEA KWA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEO"

Post a Comment