Viongozi wa mnada TIA dada Kalelema Kware na Bwana Kennedy Ndosi. Mnada huu utaendelea kesho kuanzia saa nne asubuhi
Baadhi ya watu waliohudhuria mnada huo ili kuweza kununua vitu mbalimbali
Milango na viti vilivyokua vikiuzwa
Mataili pamoja na Milango
Baadhi ya watu wakipakia vitu vyao
Komputa na vyuma mbalimbali vilivyokua vikiuzwa
Mapazia pia yalikuwepo
Viti na Matairi
Matairi pia yaliuzwa
0 Comment to "CHUO CHA UHASIBU KURASINI WAFANYA MNADA WA VITU MBALIMBALI"
Post a Comment