
Magari ya moshi mawili yamegongana nchini Afrika Kusini karibu
na mji mkuu wa Pretoria. Takriban watu 100 walijeruhiwa.
Wauguzi walisema kwamba watu 20 walijeruhiwa vibaya katika ajali hiyo.
"Magari moshi yote mawili yalikuwa yamejaa wasafiri ambao husafiri kwenda...