Sunday, December 30, 2012

Sunday, December 23, 2012

TANZANIA INSTITUTE ACCOUNTANCY GRADUATION CEREMONY

Mheshimiwa Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum akiwasili chuo cha uhasibu kurasini Brass Bend ikimpokea mgeni rasmi Mheshimiwa Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum akiwa na mkuu wa chuo cha uhasibu kulia wakielekea kuzindua jengo la utawala Baadh ya viongozi wa Taasisi Mheshimiwa...

Thursday, December 20, 2012

VACANCY-Human Resources Advisor CCBRT

Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) is a locally registered NGO first established in 1994. It is the largest indigenous provider of disability rehabilitation services in the country. CCBRT aims to improve the quality of life of people living with disabilities as well as their families and to enable them to achieve their legitimate potential. Duties...

NHC YATANGAZA TAREHE YA KUANZA KUUZA NYUMBA ZA BEI NAFUU KIBADA KIGAMBONI

Mkurugenzi wa uendeshaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) David Shambwe akionea katika mkutano wa waandishi wa habari, Dar es salaam jana muda wa kuanz akuuza nyumba 290 za bei nafuu zilizojengwa Kibada Kigamboni, zitakazoanza kuuzwa Januari 2 mwakani. Upande wa kulia ni meneja...

Sunday, December 16, 2012

Chelsea yashindwa na Corinthians 1-0

    Klabu ya Corrinthians kutoka Brazil, imeshinda kombe la klabu bingwa duniani baada ya kuilaza Chelsea bao moja kwa bila katika mechi ya fainali iliyochezwa nchini Japan. Paolo Guerrero aliifungia Corinthians, bao hilo muhimu na la ushindi. Hata hivyo Chelsea,...

Friday, December 14, 2012

CHUO CHA UHASIBU KURASINI WAFANYA MNADA WA VITU MBALIMBALI

Viongozi wa mnada TIA dada Kalelema Kware na Bwana Kennedy Ndosi. Mnada huu utaendelea kesho kuanzia saa nne asubuhi Baadhi ya watu waliohudhuria mnada huo ili kuweza kununua vitu mbalimbali Milango na viti vilivyokua vikiuzwa Mataili pamoja na Milango Baadhi...