Magwea amefariki jana asubuhi alikuwa Ghetto moja Na msanii M
To The P.
Walivyokwenda kuwagongea asubuhi walikuta Ngwear amefariki na M To The P amepoteza fahamu kabisa. Pia Daktari alishatoa taarifa kwa watu wa karibu wa Ngwear huko South Africa. Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south Africa mtu wa karibu anasema walitakiwa kurudi dar jana lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi hospitali.

0 Comment to "R.I.P. MANGWEA"
Post a Comment