Tanzania Commission for Universities (TCU) inafanya maonyesho ya 8 ya vyuo vikuu kutoka nchi mbalimbali ulimwenguni ambayo yanatarajiwa kumalizika kesho. wadau mbalimbali na wanafunzi wanaamasishwa kuhudhuria maonyesho hayo ili waweze kujutambua vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Banda la Tanzania Institute of Accountancy kutoka kushoto ni bwana Kasege, Mkuu wa chuo cha Uhasibu Mheshimiwa Shah Hanzuruni pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wakipata mawili matatu kutoka kwa Bwana Baraka Kamwela ambaye ni Afisa usajiri wa Taasisi hiyo.
Mkuu wa chuo cha Uhasibu Bwana Shah Hanzuruni akipata maelezo kutoka kwa bwana Joseph Mwerinde na Bi Anne Masenga kuhusu maendeleo ya banda lao.
Bwana Joseph Mwerinde akitoa maelezo kwa wateja waliotembelea banda la chuo cha Uhasibu
Baadhi ya wateja wakip[ata maelezo kutoka kwa Bi Anne Massenga katika maonyesho hayo.
Sehemu ya muonekano wa banda la chuo cha uhasibu
Bwana Mwerinde, J. akitoa maelezo kwa wateja
Sehemu ya muonekano wa mbele wa banda la chuo cha uhasibu
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMaonesho yalikuwa ni yaukweli,Hakika tumejifunza vya kutosha,Hongereni sana TCU, washika dau,na Wakereketwa woooote waliohusika kwa namna moja ama nyingine,inapendeza saaana.....!
ReplyDeleteNi kwa namna ya kipee kwa TCU kuandaa maonesho ya vyuo mbalimbali hapa nchini,hakika inapendeza sana hasa kuona wadau mbalimbali wakijongea na kushiriki katika ukumbi wa DIAMOND JUBILEE..!
ReplyDelete