Wednesday, October 3, 2012

AJALI MJINI MBALIZI - MBEYA

Ajali mbaya iliyotokea Mbeya jana eneo la Mbalizi Mbeya , magari mawili yamegongana na kuwaka moto. Watu wanne walipotiwa kufariki dunia , mbunge wa viti maalum Mh. Mary Mwanjelwa alikuwemo katika ajali hiyo, katibu wake ateketea kwa moto.


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya aliyevaa Suti ya Blue Mh. Abass Kandoro akiwa eneo la ajali


Hivi ndivyo hili gari lilivyo ungua moto baada ya ajali


 Baadhi ya miili ya watu waliofariki

Mbunge wa viti maalumu Mbeya akiwa katika Hospitali ya Fisi baada ya kupata ajali
 Mamia ya watu waliofulika kushuhudia ajali hiyo
 Gari jinsi ilivyopinduka na kuwaka moto
Faya wakiwa eneo la tukio wakizima moto

Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "AJALI MJINI MBALIZI - MBEYA"

Post a Comment