Monday, October 22, 2012

VIONGOZI WA UAMSHO WAPELEKWA MAHAKAMANI ZANZIBAR

Gari la polisi ambalo lilichukua viongozi wa jumuiya ya Uamsho ambao walishtakiwa kwa makosa ya kufanya fujo na uchochezi


Kiongozi wa jumuiya ya Uamsho Sheikh Farid Hadi Ahmed akishuka katika gari la polisi kuelekea mahakamani Mwanakwerekwe kwa ajili ya kusomewa mashtaka yao yanayowakabili.

Mmoja kati ya viongozi wa Uamsho Sheikh Azan Khalid Hamdan akishuka kwenye gari kuelekea mahakamani.

Baadhi ya wanachama walioenda mahakamani kushuhudia kesi inayowakabili viongozi wa jumuiya ya Uamsho ambao walikosa dhamana na kurudishwa rumande. Picha na issa michuzi

Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "VIONGOZI WA UAMSHO WAPELEKWA MAHAKAMANI ZANZIBAR"

Post a Comment