Saturday, October 13, 2012

“WAISLAM” WAFANYA VURUGU, WAHARIBU MAKANISA MBAGALA, BAADA YA MTOTO KUKOJOLEA QURAN

Habar katika picha za vurugu zilizotokea Mbagara jijini Dar es Salaam baada ya mtoto Emmanuel Josephat kukojolea Quran

Mojawapo ya makanisa yanayosemekana kuharibiwa likiungua moto
Baadhi ya waandamanaji wakiokota mawe, tayari kwenda kufanyiza

Kanisa la Aglikana: picha ikionyesha vioo vimevunjika kufuatia kushambuliwa na waandamanaji hao

Muonekano wa kanisa la Anglikana

Kanisa la Sabato Mbagala Kizuiani likiwa limevunjwa vioo

Kanisa la Anglikana: Uharibifu zaidi uliofanyika

Kibao cha kanisa la Anglikana kikiwa kimevunjwa.

Baadhi ya wafanya vurugu wakipambana na polisi

Mabenchi ya kanisa la Anglikana yakiwa yametupwa nje

Baadhi ya vizuizi vilivyowekwa na waandamanaji katika eneo la Mbagala Kizuiani katika harakati za kupinga kitabu kitakatifu cha Quran kukojolewa na mtoto Emmanuel Josephat.



Polisi wakiondoka na baadhi ya watuhumiwa waliokamatwa

Vioo vya kanisa la sabato vilivyovunjwa


Baadhi ya watuhumiwa wa maandamano wakiwa chini ya ulinzi wa polisi
 Moja ya magari la polisi yaliyoharibiwa

Baadhi ya waandamanaji waliokamatwa wakipandishwa kwenye gari la polisi

Baadhi ya watuhumiwa wakiwa wamekamatwa na polisi


Polisi katika harakati za kuthibiti fujo

Baadhi ya watuhumiwa wakipandishwa kwenye gari la polisi

Polisi wakiwavusha baadhi ya watuhumiwa waliowakamata kwenye mfereji

Gar aina ya Noah ya Clouds Media Group ikiwa imeharibiwa kwa mawe
Hamis Salum baba wa mtoto ambaye Quran yake imekojolewa akiongea 

Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "“WAISLAM” WAFANYA VURUGU, WAHARIBU MAKANISA MBAGALA, BAADA YA MTOTO KUKOJOLEA QURAN"

Post a Comment