Friday, October 19, 2012

VIKOSI VYA USALAMA VYADHIBITI VURUGU JIJINI DAR LEO

Barabara ya kuingia katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi zikiwa zimefungwa na Askari Polisi kufuatia vurugu zilizotokea.

Polisi wakifanya doria kwa kutumia pikipiki

Mitaa ya Kariakoo na vitongoji vyake ikiwa imeimarishwa na Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).




Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "VIKOSI VYA USALAMA VYADHIBITI VURUGU JIJINI DAR LEO"

Post a Comment