Wednesday, October 24, 2012

KIKOSI CHA PRISONS FC CHAPATA AJALI TANGA

Timu ya prison ya Mbeya imepata ajali eneo la Hare mkoani Tanga,wachezaji Issa Mwantika,Lugano Mwangama,Khalidi Fungabreki,Daudi Masungwe wamepoteza fahamu na kukimbizwa hospitali ya Tanga, chanzo cha ajali iyo ni baada gari aina ya COaSter kuacha njia na kupinduka baada kupigwa na mwanga mkali wa taa za gari walilokua wanapishana nalo jana usiku, hadi saa tano na dk hamsini jana usiku majeruhi walikuwa wakikimbizwa hospitali teule ya Muheza.

Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "KIKOSI CHA PRISONS FC CHAPATA AJALI TANGA"

Post a Comment