Monday, October 8, 2012

TIMU YA YANGA YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1 - 0 KUTOKA KWA KAGERA SUGAR

Ligi kuu ya Tanzania Bara imeendelea hii leo katika uwanja wa kaitaba Mjini Bukoba ambapo timu ya Yanga imeambulia kichapo cha bao 1-0 Kutoka kwa wakata miwa wa Kagera Sugar.
Bao la Kagera Sugar limepatikana dk ya 40 kipindi cha pili cha mchezo, Bao hilo limefungwa na mchezaji mahiri mzaliwa wa Kimbugu Muleba Temmy Alfonce.
 Kocha wa Kagera Abdallah King Kibadeni
Safu imara ya Kagera Sugar ikiongozwa na goli kipa Andrew Ntalla na walinzi wake wa karibu kama Juma Nade na Kanoni Salim wanastahili pongezi.

Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "TIMU YA YANGA YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1 - 0 KUTOKA KWA KAGERA SUGAR"

Post a Comment