Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatarifu waombaji kazi kuwa tarehe za usaili zimebadilika kutokana na mabadiliko ya tarehe ya sikukuu ya Eid el Hadjj.
Aidha, ukaguzi wa vyeti utaanza saa 1:00 hadi 1:45 asubuhi siku ya mtihani wa mchujo.
Hivyo usaili utafanyika kama ifuatayo:
1. Usaili wa Mchujo kwa mikoa ya MOROGORO, MANYARA, PWANI, ARUSHA, KILIMANJARO na TANGA utafanyika tarehe 29/10/2012. 2. Usaili wa Mahojiano kwa mikoa ya MOROGORO, MANYARA, PWANI, ARUSHA, KILIMANJARO na TANGA utafanyika tarehe 30/10/2012. 3. Usaili wa Mchujo kwa mkoa wa DAR ES SALAAM utafanyika tarehe 27/10/2012 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) -CHANG’OMBE 4. Usaili wa Mahojiano kwa mkoa wa DAR ES SALAAM utafanyika tarehe zilizopangwa awali (01/11/2012 na 02/11/2012) na utafanyika katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira zilizoko Maktaba ya Taifa barabara ya Bibi Titi Mohamed Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza. |
Sunday, October 21, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Recent
Weekly
-
UKIJUA FAIDA YA KITUNGUU MAJI HUTAACHA KUKITUMIA Baadhi ya magonjwa ambayo hadi sasa haijafahamika tiba yake katika hospitali zetu yana...
-
TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA MAARIFA (QT) NA KIDATO CHA NNE (CSEE) ILIYOFANYIKA OKTOBA 2012 1.0 ...
-
TANZANIA PETROLEUM DEVELOPMENT CORPORATION CAREER OPPORTUNITIES Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is a...
-
14 SEPTEMBER, 2013 Aston Villa v Newcastle United Everton v Chelsea Fulham v West Bromwich Albion Hull City v Cardiff City Man...
-
Bulgarian politician Ahmed Dogan looks at the gunman as he holds a gun at his head and misfires A 25-year-old man, pictured ...
-
The Tanzania Library Service: A Review of Recent Literature By Cecelia Dahlgren Abstract Gives a history of the Tanzania Library Se...
-
Padre E. Mushi Paroko wa parokia ya Minara Miwili Zanzibar ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika. Hii ni gari aliyokuwamo...
-
Legend: Film director Michael Winner has died aged 77 after a long battle with liver disease Prolific: Winner directed more than...
-
MWALIMU JULIUS NYERERE MEMORIAL SCHOLARSHIP FUND SCHOLARSHIP APPLICATION FORM For Study in Tanzanian Universities 2015 (MASTE...
0 Comment to "MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI"
Post a Comment