Wednesday, March 27, 2013

VACANCIES ANNOUNCEMENT - 26th March, 2013

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE   PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT   Ref. Na EA.7/96/01/D/24                                                               ...

Monday, March 25, 2013

LESENI MPYA MWISHO MARCH 31

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed Mpinga amewataka madereva wote nchini kubadilisha leseni zao za zamani kwa kuwa zimebaki siku saba tu zoezi hilo kumalizika, vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mpinga...

Sunday, March 24, 2013

MAAFULIKO JIJINI DAR ES SALAAM

Licha ya wakazi wa mabondeni kutahadharishwa waondoke na serikali kuhama lakini baadhi ya wakazi walikaidi amri hiyo, amri hiyo kupingwa jana imeonyesha amri hiyo ya serikali ya kutaka  wakazi hao wahame imedhihirisha kwa mafuriko mafuriko hayo kufulika. Picha inawaonyesha...

TAIFA STARS YAIADHIBU MOROCO 3 - 1

Ubao wa Matokeo unavyosomeka mara baada ya kumalizika kwa mechi kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Timu ya Taifa ya Morocco   Kikosi cha kwanza cha Taifa Stars kilichocheza dhidi ya Morocco. Mpaka mwisho Taifa Stars 3 Morocco 1   Timu ya...

RAIS JINPING AKUTANA NA KIKWETE DAR-ES-SALAAM

  Rais Xi Jinping, rais wa Uchina, ametia saini mikataba kadha na Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania mjini Dar-es-salaam. Rais Xi aliingia Dar-es-salaam akitokea Moscow ambako ndiko alikoanza safari yake ya kwanza katika nchi za nje tangu kutawazwa rasmi kuwa rais hivi...

Thursday, March 21, 2013

MASHUA YAZAMA KATIKA PWANI YA NIGERIA

Mashua iliyokuwa imebeba watu 160 imezama umbali wa kilometa 74 toka pwani ya Nigeria, wanaosimamia shughuli za uokoaji wamesema. Mashua hiyo, iliyoundwa kwa mbao, ilianzia safari yake huko kusini-mashariki mwa Nigeria Ijumaa, ikielekea Gabon, safari kati ya Afrika Magharibi...

Monday, March 18, 2013

UHURU ATAKA MASHTAKA YAKE ICC YAFUTWE

Wanasheria wa rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta, wameiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai, ICC, kumfutia mashitaka yanayomkabili mbele ya mahakama hiyo. Bwana Kenyatta amekanusha kuchochea ghasia baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007. Kikao maalum cha mahakama...

Sunday, March 17, 2013

CHELSEA YASOGEA NAFASI YA TATU BPL

Chelsea's Frank Lampard scores his 200th goal for Chelsea against his old side West Ham Chelsea are up to third place in the Barclays Premier League after overcoming West Ham United at Stamford Bridge after Tottenham Hotspur lost at home against Fulham. Rafa Benitez’s side leapfrogged...

Wednesday, March 13, 2013

PAPA ACHAGULIWA, SASA NI PAPA FRANCIS I

Moshi mweupe ukiashilia upatikanaji wa Papa Papa Francis akihutubia Papa Francis akijitokeza Kadinali Jorge Mario Bergoglio wa Argentina amechaguliwa kuwa Papa mpya wa Kanisa Katoliki. Kadinali Bergoglio anakuwa mtu wa kwanza kutoka Amerika kusini...

MOSHI MWEUSI VATICAN UKIASHILIA PAPA HAJAPATIKANA

Moshi mweusi Vatican   Moshi mweusi umetokea kwenye dari la hekalu ya Sistine mjini Roma, kumaanisha kuwa makadinali walioko ndani ya hekalu wameshindwa kuafikiana juu ya Papa mpya anayetarajiwa kuchaguliwa. Moshi mweupe utaashiria kupatikana kiongozi mpya wa kanisa...

Tuesday, March 12, 2013

VACANCY - LOGISTICS MANAGER (PREFERABLY ASIAN)

Logistics Manager (Preferably Asian) HR SOLUTIONS LTD Date Listed: Mar 9, 2013 Phone: - Area: Dar Es Salaam Application Deadline: Mar 22, 2013 Start Date: Mar 25, 2013   Position Description: Key Competencies  • Communication skills...