Monday, April 8, 2013

RAIS KIKWETE AWASILI JIJINI NAIROBI KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA KENYA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa heshima zote baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta. 
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto
Mama Salma Kikwete akipokea maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto
 
 
Rais Kikwete akiweka saini  kitabu cha wageni.
 

 
 

Share this

0 Comment to "RAIS KIKWETE AWASILI JIJINI NAIROBI KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA KENYA"

Post a Comment