Wednesday, April 3, 2013

WATUHUMIWA WA JENGO LILILOPOROMOKA DAR WAFIKISHWA MAHAKAMANI

Mtuhumiwa namba moja wa mashitaka 24 ya kuua bila kukusudia Raza Hussein Ladha (kushoto) akiwa chini ya ulinzi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam pamoja na watuhumiwa wenzake kumi.
Mtuhumiwa namba moja wa mashitaka 24 ya kuua bila kukusudia Raza Hussein Ladha (kulia) na watuhumiwa wenzake kumi wakisubiri kupandishwa kizimbani, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
 
 

Habari na: Josephat Lukaza
 

Share this

0 Comment to "WATUHUMIWA WA JENGO LILILOPOROMOKA DAR WAFIKISHWA MAHAKAMANI"

Post a Comment