
Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda Victoire Ingabire amehukumiwa miaka minane gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kosa la uhaini
Viongozi wa mashtaka walitaka afungwe maisha jela kwa kutishia usalama wa nchi.
Mahakama imempata na hatia ya kupuuza mauaji ya Kimbari yaliyotokea...