Thursday, February 28, 2013

VACANCY CHIEF INFORMATION OFFICER - ILO

  Vacancy No: CALL/D/2013/08 Title: Chief Information Officer Grade: D2 Contract type: Fixed-Term Appointment   The ILO invites interested parties to submit their expression of interest for the following vacancy:  Chief Information Officer (D2) The...

LALA SAMALA YA UCHAGUZI NCHINI KENYA

  Kinyang'anyiro, cha uchaguzi utakaofanyika Jumatatu kinaingia mkondo wa lala salama hii leo, na Ijumaa huku wagombea wakienda kwenye majimbo kuwaomba watu kura. Kura za maoni zinaonyesha ushindani mkali kati ya mgombea Uhuru Kenyatta wa Jubilee na Raila odinga wa...

Wednesday, February 27, 2013

YANGA YAILAZA KAGERA SUGER 1 - 0

  Yanga ifikishe pointi 42, baada ya kucheza mechi 18, hivyo kujitanua kileleni mwa Ligi Kuu, ikiizidi Azam FC kwa pointi sita, ambayo inashika nafasi ya pili kwa pointi zake 36, wakati mabingwa watetezi, Simba SC wanashika nafasi ya tatu kwa pointi zao 31. Kagera inabaki...

Monday, February 25, 2013

Sunday, February 24, 2013

SIMBA IMEKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 DHIDI YA MTIBWA SUGAR

Timu ya Simba ya Dar es Salaam, jana imekubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, uliochezwa jana jioni katika Uwanja wa Taifa. Bao la Mtibwa Sugar, limefungwa na Mshambuliaji Salvatory Mtebo, katika dakika ya 19, baada ya...