Sunday, February 24, 2013

SWANSEA YATWAA TAJI LA CAPITAL ONE CUP

Swansea imefanikiwa kutwaa taji lao la kwanza baada ya kuifunga timu kutoka daraja pili ya  Bradford katika fainali ya   Capital One Cup. Swansea ilikwenda mapumziko ikiwa magoli mawili huku mlinda mlango wa Bradford  Matt Duke kulimwa kadi nyekundu. Hadi mwisho wa mchezo Swansea iliibuka na ushindi wa goli 5
 
 

 

Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "SWANSEA YATWAA TAJI LA CAPITAL ONE CUP"

Post a Comment