Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,akiwasalimia wananchi
wakati alipofika katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar kutoa salamu ya
Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa
Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akitoa salamu
ya Mwisho kwa mwili wa Marehemu Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la
Minaramiwili Mjini Zanzibar, Padri Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi
na watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya
ya Kaskazini B Unguja,(katikati) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar
Augustino Shao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisaini kitabu cha rambirambi
0 Comment to "RAISI WA ZANZIBAR ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU PADRI MUSHI"
Post a Comment