Rais Mwai kibaki wa
Kenya akikaribishwa kwa maua na
Mwanafunzi Tazmina Rasul(6) muda mfupi baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya
kiserikali (State Visit) ya siku mbili huku mwenyeji wake Rais Dkt.Jakaya
Kikwete akiangalia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akimkaribisha Rais Mwai Kibaki wa Kenya muda mfupi baaada ya kuwasili
katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kiserikali
(State Visit) ya siku mbili.
0 Comment to "RAISI MWAI KIBAKI AWASILI NCHINI KUWAAGA WATANZANIA"
Post a Comment