Sunday, April 14, 2013

SIMBA SC 2 - 2 AZAM FC


Mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya Timu ya Simba SC na Azam FC ya chamazi, Mbagala, ulimalizika kwa sare ya 2-2, huku kivutio kikubwa kikiwa ni mashabiki wa Yanga kuishangilia Simba SC.

Simba walianza kuongoza kwa bao mbili zilizofungwa na Ramadhani Singano katika kipindi cha kwanza, baadae Kipre Tchetche aliifungua Azam kwa njia ya penati, na bao la pili likafungwa na Humphrey Mieno.

Share this

0 Comment to "SIMBA SC 2 - 2 AZAM FC"

Post a Comment